Huwezi kusikiliza tena

Virusi sawa na HIV ya paka vyagunduliwa Kenya

Nchini Kenya, virusi hatari aina ya FVI, vinaavyofananana virusi vya HIV vimegunduliwa katika paka mmoja kupitia uchunguzi wa kimaabara.

Hii ni baada ya uchunguzi wa paka huyo kuthibitisha uwepo wa ugonjwa huo.

Wafugaji wa paka na wanyama wa nyumbani wameonywa kuwapeleka wanyama wao kwaajili ya uchunguzi wa afya wanapowashuku wanyama wao .

Abdinoor Aden amezungumza na Daktari Ahmed Kalebi Mkurugenzi mkuu wa muungano wa wanapatholojia ambaye pia ni mtaalam wa uchunguzi wa kimaabara.

Kwanza alimuuliza ufumbuzi wa virusi hivyo na jinsi paka huyo alivyogunduliwa