Anunua namba za usajili kwa dola milioni 5

Mfanya biashara katika Umoja wa Falme za Kiarabu, amelipa karibu dola milioni tano kununua nambari ya gari ya kipekee.

Nambari yenyewe ni ya herufi moja tu, Namba moja.

Bei aliyolipa ni karibu mara 20, kushinda ilivyo-tarajiwa mna-da uli-poanza.

Tajiri huyo ali-vi-ambia vyombo vya habari kwamba lengo lake siku zote, ni kuwa nambari ya kwanza.