Sekta ya utengenezaji viwandani Afrika kuleta maendeleo

Sekta ya utengenezaji viwandani Afrika kuleta maendeleo

Sekta ya utengenezaji kiwandani inaonekana ndio njia nzuri kwa viwanda katika kuleta maendeleo ya Afrika kwa kusaidia ajira na mauzo ya nje ya bidhaa. Wakati baadhi ya nchi zinashuhudia ukuaji katika sekta hii, nyingine nyingi hazikui kwa kasi kama inavyotarajiwa. Kenya ni moja ya nchi inayotajwa kuwa na mazingira mazuri ya uzalishaji bidhaa zilizokamilika barani Afrika, lakini asilimia themanini ya mauzo yake ya nje si bidhaa kamili. Nancy Kacungira anaarifu zaidi.