Vyama vya kisiasa

Jengo la bunge la Uingereza
Image caption Hapa ndipo panapogombaniwa na vyama vya kisiasa, jinsi ya kupatawala.

Tofauti na wengi nje ya Uingereza na hata ndani ya nchi hii wanavyodhani, kuna idadi kubwa ya vyama vya kisiasa vinavyowania viti katika bunge la Uingereza. Labour, Conservative na Liberal Democrats ndiyo vyama vikubwa zaidi, lakini kama utakavyoona kwenye orodha hapo chini, vipo vyama vinavyosimamia maslahi ya aina fulani pekee - mfano mazingira.

LABOUR

Kiongozi: Gordon Brown

CONSERVATIVES

Kiongozi: David Cameron

LIBERAL DEMOCRATS

Kiongozi: Nick Clegg

DEMOCRATIC UNIONIST PARTY

Kiongozi: Peter Robinson

SCOTTISH NATIONAL PARTY

Kiongozi: Alex Salmond

SINN FEIN

Kiongozi: Gerry Adams

PLAID CYMRU

Kiongozi: Ieuan Wyn Jones

SOCIAL DEMOCRATIC & LABOUR PARTY

Kiongozi: Margaret Ritchie

ULSTER CONSERVATIVE & UNIONIST NEW FORCE

Kiongozi: Sir Reg Empey

RESPECT

Kiongozi: Salma Yaqoob

UK Independence Party

Kiongozi: Lord Pearson

Green Party (England & Wales)

Kiongozi: Caroline Lucas

British National Party

Kiongozi: Nick Griffin

Vingine

Scottish Green Party

Alliance Party

Green Party (Ireland Kaskazini)

English Democrats

Scottish Socialist Party

Trade Unionist and Socialist Coalition

Traditional Unionist Voice