Wasifu wa Ibrahim Lipumba

Profesa Ibrahim Lipumba aligombea kupitia chama cha CUF kwa mara ya kwanza mwaka 1995, ingawa hakufanikiwa kushinda, alikijengea jina chama chake katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.