Huwezi kusikiliza tena

Kiswahili

Katika sehemu hii ya usanifishaji na matumizi ya lugha ya kiswahili, Bi Clara Momanyi ambaye ni katibu wa chama cha kiswahili cha taifa nchini Kenya anazungumzia umuhimu wa waandishi wa habari kutumia maneno sahihi ambayo hayapotoshi wasikilizaji wao, kama wanavyofanya baadhi yao....Bi Momanyi amezungumza na John Nene.