Michezo ya Paralympiki kufunguliwa rasmi

Imebadilishwa: 29 Agosti, 2012 - Saa 16:59 GMT

Wanariadha walemavu

 • Mbio za mwenge wa olimpiki ya walemavu katika barabara za London
 • Wanariadha wakongwe walemavu Uingereza
 • Mwenge wa Olimpiki ya walemavu hapo ukiwashwa
 • Picha ya mchezaji wa mpira wa vikapu atakayeshiriki olimpiki ya walemavu
 • Shangwe mwenge wa Olimpiki ya walemavu ulipowashwa nchini Uingereza
 • Kadidjatou Amadou ni mwanariadha kutoka Niger na atakuwa anashindana katika urushaji wa mkuki. Hapa yuko na mwanariadha mwenzake Ibrahim Mamoudou Tamangue atakayeshiriki mbio za mita miamoja.
 • Kadidjatou Amadou alipotembelea studio za BBC london
 • Kadidjatou Amadou katika studio za televisheini za BBC
 • Kadidjatou Amadou kwenye mahojiano
 • Mwogoleaji mlemavu akijiandaa kwa michezo ya Olimpiki ya walemavu
 • Wanariadha walemavu watakaowakilisha Uingereza kwenye Paralympics

Mwenge wa michezo ya Olympics umekuwa ukikimbizwa katika mitaa ya London hii leo kuelekea sherehe za ufunguzi rasmi wa mashindano ya michezo hiyo kwa walemavu -PARALYMPIC utakaofanyika leo usiku jijini London.

Makundi ya watu wamekuwa wakijipanga barabarani wakipeperusha bendera huku wakishangilia mwenge huo wakati ukielekea katika viwanja maalum vya Olympic mashariki wa London.

Watu elfu saba wanatarajiwa kushiriki katika sherehe hizo zitakazohudhuriwa pia na malkia Elizabeth wa Uingereza.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.