Null

Imebadilishwa: 13 Septemba, 2012 - Saa 15:16 GMT

Washiriki wa kipindi cha Sema Kenya

SemaKenya ni makala mapya ya mjadala wa kisiasa yanayoandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC na kusambazwa kila wiki kwenye TV, redio, na kwa mtandao wa tovuti nchiniKenya.

SemaKenyani kipindi maalum ambapo hoja zitaamuliwa na washiriki wala sio msimulizi.

Wakati WaKenya wanapojiandaa kufanya uchaguzi mkuu wa 2013, kipindi cha SemaKenyakitazuru kote nchini kujumuisha watu ili watoe masuala ya eneo zao nay a kitaifa kwa jumla.

Kipindi cha SemaKenyani cha kipekee kwa sababu nyingi.

Kitafanyiwa kwa lugha ya taifa ya Kiswahili.Hoja zinazozungumziwa zimetokana na utafiti wa kuonyesha masuala yanayohusu eneo tunazotembelea.Kipindi cha SemaKenyakitajumuisha watu wa tabaka mbalimbali wakiwemo wanaume, wanawake na vijana.Mwananchi wa kawaida atapata fursa ya kuwahoji viongozi ana kwa ana.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.