Sema Kenya kipindi cha wanawake na siasa

Imebadilishwa: 14 Novemba, 2012 - Saa 08:53 GMT
  • Vijana kwa wazee, kipindi kiliwaleta pamoja watu wa tabaka mbalimbali.
  • Mwenyekiti wa shirika la Maendeleo ya Wanawake Bi Rukia Subow (kushoto) alishiriki katika kipindi chetu cha wanawake na siasa.
  • Mbunge maalum Sofia Abdi Noor alikuwa katika jopo letu.
  • Huyu mzee mwenye maarifa alichangia mjadala pia.
  • Jopo lilikabiliwa na maswali mengi.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.