Huwezi kusikiliza tena

Mjadala wa ugatuzi Kisii

Kipindi cha Sema Kenya kilizuru kaunti ya Kisii, iliyoko magharibi mwa Kenya, kujadili kwa kina utekelezaji wa mfumo mpya wa ugatuzi.

Tayari kuna mvutano kati ya wabunge na maseneta kuhusu ugavi wa bajeti katika kaunti mbali mbali, huku Rais Kenyatta akiwakabidhi magavana wajibu wa kusimamia maswala ya afya, uchukuzi, kilimo na utalii katika kaunti zao