Huwezi kusikiliza tena

Maendeleo duni Turkana

Sema Kenya kilizuru mji wa Lodwar kutafuta sababu na suluhu kwa tatizo la maendeleo duni Kaunti ya Turkana.

Aidha, tulitaka kithibitisha ni vipi wakazi wa Turkana watafaidika kufuatia kupatikana kwa mafuta eneo hilo.