Huwezi kusikiliza tena

Ugatuzi na maendeleo Siaya

Kipindi cha Sema Kenya kilizuru kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya, kubainisha utendakazi wa serikali za ugatuzi miezi mitatu tangu kubuniwa.

Mada ya mjadala ilikuwa ni 'Je, serikali za kaunti zimepata malengo yao sawa?'