Huwezi kusikiliza tena

Uongozi mateka Kajiado

Kipindi hiki kilipeperushwa kwa mara ya kwanza Agosti 4, 2013. Kinaangazia athari za mvutano wa viongozi kwa maendeleo, kaunti ya Kajiado ikiwa kama mfano.