Shabiki wa Sema Kenya

Mjadala wa Usawa wa Kijinsia katika Uongozi

Image caption Caleb Orenge Chauro

Mshiriki katika kipindi cha usawa wa kijinsia katika uongozi, alisema kwamba wanawake wakishika uongozi, wanabadilisha nia. Je, ni kweli? Maoni yako ni yapi?

Maoni yake Caleb: "Kweli kabisa. Ukiangalia wote haswa waliochaguliwa, zile ahadi walikuwa wanapeana na kusema watatetea kinamama, hawatekelezi tena. Na wengi wao wakishakalia kiti, basi hawaonekani kamwe; ni kubishana na wenzao wa kiume kwa mijadala ambayo haina maana."