Shabiki wa Wiki

Shabiki wa Wiki

Image caption Kithinji wa Kithinji

Katika mjadala wa kwanza wa msimu wa tatu tuliuliza: Ni kwa nini vijana wanalaumiwa kwa ukosefu wa usalama nchini?

Shabiki Kithinji wa Kithinji alitoa jibu lake hivi:

"Vijana ndio wamekuwa wakitumiwa na magaidi kusababisha mashambulizi ya kidgaidi nchini. Ukosefu wa ajira unawadhoofisha, hivyo vijana wanashawishiwa virahisi kujiunga na vikundi vya kigaidi."