Shabiki wa Wiki

Shabiki wa Wiki

Image caption Polly Njagi

Sema Kenya kilitoa mada kujadili utendaji kazi wa viongozi haswa kutokana na vyeo na muundo mpya wa serikali kutokana na katiba. Swali ni kwamba:

Katiba mpya bunge jipya; je, unatosheka na utendaji kazi wa bunge?

Polly Njagi alijibu hivi:

"Yao ni malumbano ya chama na kutaka kuangusha serikali, kujivinjari na starehe za kila aina na ubinafsi ya hali ya juu. Mfano: mishahara nono na kuoa wake wengi, cheo na majina makubwa na kadhalika. Jameni! Twaelekea wapi?!"

Asante sana kwa maoni yako Polly.