Huwezi kusikiliza tena

Wewe ni mfisadi?

Image caption Matemo Mumo ,Mwenyekiti wa Shirika la kupambana na Ufisadi , Kenya

Nani wa kulaumiwa kutokana na kutofaulu katuka vita dhidi ya ufisadi nchini Kenya.

Wengine wanasema ufisadi ni tatatizo la kihistoria nchini Kenya.Kuna wale wanaoshikilia kuwa ni tatizo la voingozi mafisadi.

Lakini kuna wengine wanasema kiongozi fisadi anaungwa mkono katika ubovu huo na wananchi wafisadi.