"Mbona watoto wetu wapotea na kuuwawa?"

"Mbona watoto wetu wapotea na kuuwawa?"

Wakenya wanakubali kuwa ugaidi ni uhalifu mbaya sana lakini operesheni ya kukabiliana na ugaidi isitumewe kama njia ya kuwanyanyasa watu na kukiuka haki zao za kimsingi.

Bi Dogo Juma analia tangu mwaka 2012 amekuwa akimtafuta mtoto wake Omar aliyepotea mikononi mwa polisi.

Maelezo ya picha,

Bi Dogo Juma "mtoto wangu Omari yuko wapi tangu 2012? Kama amekufa naomba serikali inaambie nitashukuru"