Mtoto anayeendesha baisikeli
Huwezi kusikiliza tena

Uendeshaji baisikeli salama Afrika?

Afrika ina sehemu yake ya miji iliyojazana watu na miji ikiwa na msongamano mwingi, na idadi ya watu wanaokufa katika ajali za barabarani nayo inakuwa kubwa.

Sasa dawa iko wapi?

Leo tunaanza mfululizo wa siku tatu, kwa kuangalia foleni za magari na usalama barabarni.

Tunaanza Dar es Salaam, Tanzania, ambako kuendesha baiskeli pengine ndio njia ya kupunguza msongamano wa magari.

Lakini jee, ni salama?

Sammy Awami aliona bora ajitose.