28 Aprili, 2010 - Imetolewa 15:29 GMT

Faidika na BBC katika picha

 • Kikwete
  Mgeni rasmi katika Faidika na BBC 2007 Rais wa Tanzania jakaya Kikwete
 • Majaji
  Majaji wa Burundi wakijadiliana kutafuta mshindi
 • Watangazaji
  Watangazaji Salim Kikeke na Ramadhani Kibuga wakitangaza moja kwa moja shindano la Faidika na BBC kutoka Bujumbura
 • mshiriki
  Mmoja wa washiriki katika faidika na BBC akijieleza mbele ya majaji mjini Kigali, Rwanda
 • Mkuu
  Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Solomon Mugera akiwa na Flora Nducha katika fainali zilizofanyika Tanzania
 • Mshiriki
  Mmoja wa washiriki wa Faidika na BBC kutoka Kigali
 • mshiriki
  Washiriki hutakiwa kuwashawishi majaji kuhusu michanganuo walioandika
 • Ukumbi
  Shughuli ya kutafuta mshindi ilifanyika katika ukumbi huu jijini Kampala mwaka 2008
 • Majaji
  Majaji kutoka Afrika Mashariki na Kati wakizungumza kabla ya mchuano wa fainali kuanza
 • Jaji
  Mmoja wa majaji Arnold Kweka akihojiwa na mwandishi wa BBC Anne Mawathe

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.