Video
Habari kuu
Matangazo ya Dira ya Dunia TV, Jumatatu 14/02/2019
Matangazo ya Dira ya Dunia TV, na Zuhura Yunus na Dayo Yusuf
- 15 Februari 2019
Lugha tano za kunogesha mapenzi
Kwa mujibu wa mshauri wa masuala ya ndoa Gary Chapman, ambaye pia ni mwandishi wa kitabu cha lugha ya upendo.
- 14 Februari 2019
Maajenti wa siri wa mauaji Sudan
Kanda za video zilizopigwa na waandamanaji Sudan zinaonyesha maajenti wa usalama wakiwafukuza waandamanaji, wakiwapiga na kuwaburuza hadi katika vizuizi vya siri.
- 13 Februari 2019
Matangazo ya Dira ya Dunia TV, Jumanne 12/02/2019
Matangazo ya Dira ya Dunia TV, Jumanne 12/02/2019 na Zuhura Yunus na Dayo Yusuf
- 13 Februari 2019
Picha halisi ya shambulio katika hoteli ya Nairobi
Nini hasaa kilifanyika katika shambulio la kigaidi Nairobi lililodumu kwa saa 19?
- 12 Februari 2019
Mfungwa apatikana paruwanja akijaribu kutoroka jela
Mpango ya mfungwa huyu kutoroka jela kijanja ziligonga mwamba baada kuanguka kutoka kwenye dari ya chumba aliyokuwa amejificha kuporomoka.
- 12 Februari 2019
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Matangazo ya Dira ya Dunia TV, Jumatatu 11/02/2019 na Zuhura Yunus na Dayo Yusuf
- 12 Februari 2019
'Mcheza soka wa kipekee niliyeweka wazi mahusiano yangu ya jinsia moja'
Katika mataifa mengi Afrika, ni uhalifu kuwa mpenzi wa jinsia moja, na ni nadra kushuhudiwa katika soka. Lakini Phuti Lekoloane analibadili hilo.
- 11 Februari 2019
'Mcheza soka wa kipekee niliyeweka wazi mahusiano yangu ya jinsia moja'
Katika mataifa mengi Afrika, ni uhalifu kuwa mpenzi wa jinsia moja, na ni nadra kushuhudiwa katika soka. Lakini Phuti Lekoloane analibadili hilo.
- 11 Februari 2019
Unalikumbuka boti la plastiki kutoka Lamu?
Tulikutana na mabaharia wa boti lililo tengenezwa kwa taka za plastiki kutoka Lamu, mwaka mmoja tangu tulipoangazia kuanza kwa ujenzi wake.
- 8 Februari 2019
Chui avamia wakaazi kijijini
Chui huyu aliingia katika kijiji kaskazini mwa jimbo la Punjab nchini India na kusababisha hofu kubwa.
- 7 Februari 2019
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Jumatano 06.02.2019 na Salim Kikeke & Dayo Yusuf
- 6 Februari 2019
Je kuna faida ya kukandwa wakati ukiwa mja mzito?
Ni utamaduni unaondamana na wakati wa mama kujifungua mtoto katika jamii nyingi Barani Afrika. Lakini je ina manufaa yoyote kwa mama na mwana?
- 6 Februari 2019
Tuzo ya Komla Dumor 2019 yazinduliwa
Tuzo ya mwaka huu inazinduliwa kutoka mji mkuu wa Nigeria, Lagos.
- 5 Februari 2019
Mchekeshaji wa Kisomali Nasra Yusuf 'anazima mitazamo hasi'
Nasra anaeleza changamoto za kuwa Mchekeshaji, Msomali, Mwanamke, anayejaribu kubadili mitazamo.
- 5 Februari 2019
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Jumatatu 04.02.2019 na Salim Kikeke & Dayo Yusuf
- 4 Februari 2019
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Ijumaa 01.02.2019 na Zuhura Yunus & Zawadi Machibya
- 1 Februari 2019
Mauaji Njombe: "Mwanangu alitaka kuwa Daktari"
Goodluck, mwenye umri wa miaka 5, aliazimia kuwa Daktari akiwa mkubwa, sasa matumaini hayo yamezimwa
- 1 Februari 2019
Nani hudanganya zaidi kati ya wanaume na wanawake?
Jinsi umri wa mtu unavyozidi kukua ndio kiwango cha uongo hupungua.
- 1 Februari 2019