26 Aprili, 2010 - Imetolewa 13:47 GMT

Jiko la kuokoa maisha Kongo

Jiko la kuokoa maisha Kongo

 • Kuni ikiwa imeanikwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
  Familia nyingi huhitaji kilo 6.8 za mbao kupikia kwa siku ambapo huweza kupunguzwa kwa asilimia 70 kwa kutumia jiko linalotumia kuni kwa kiwango kidogo.
 • Jiko maalum lisilotumia kuni nyingi
  Majiko haya maalum hutumia matofali, bati na mawe.
 • Raia wa Kongo aliyekusanya kuni
  Mahitaji makubwa ya kuni yamesababisha uharibifu wa mazingira. Na miti inavyokatwa husababisha wanawake kwenda kwenye mazingira hatari zaidi kutafuta kuni.
 • Familia ikikusanya mkaa iliyoweka msituni
  Asilimia 90 wamesema hudhalilishwa na kubakwa wakati wa kuokota kuni.
 • Wanawake wakitengeneza majiko maalum
  Wanawake wakitengeneza majiko maalum

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.