26 Aprili, 2010 - Imetolewa 14:20 GMT

Mtoto mlemavu aanza ta ta Tanzania

Mtoto mlemavu aanza ta ta Tanzania

 • Mtoto mlemavu Amina
  Amina alizaliwa bila mkono mmoja na miguu yote miwili, lakini hivi karibuni amefanikiwa kusimama na kuanza kutembea kidogo.
 • Amina akijaribu kutembea
  Japo Amina anajitahidi kutambaa, baba yake alimkimbia.
 • Watu wasio na uwezo hupata unafuu wa kulipa
  Daktari akiwa katika hatua za mwanzo za kumtibu Amina.
 • Mtaalamu ampa miguu mipya Amina
  Mama yake Amina alisafiri naye kwenye hospitali maalum ya kupata matibabu.
 • Amina akisimama kwa mara ya kwanza
  Akisaidiwa na dakatari mwenzake, hii ilikuwa mara yake ya kwanza Amina kusimama.
 • Amina akisaidiwa na mama yake kutembea
  Amina bado anahitaji mazoezi zaidi ili aweze kutembea mwenyewe bila msaada wowote.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.