19 Mei, 2010 - Imetolewa 18:59 GMT

Urembo wa jamii ya Pokot, Kenya

Siri ya urembo wa utamaduni wa Pokot, Kenya

  • Peter Njoroge alipozuru wilaya ya Pokot nchini Kenya alifurahishwa na mchanganyiko mzuri wa rangi katika utamaduni wa jamii ya Pokot. Wasichana hawa wamevaa mavazi yenye rangi za kuwaka pamoja na shanga zenye rangi tofauti.
  • Mama akionyesha urembo uliofanyiwa kazi kubwa kuweza kufikia mafanikio.
  • Hata katika ngoma za jadi, mavazi ni sehemu muhimu. Angalia shanga zilivyosukwa na kurembwa, bila kusahau manyoya.
  • Unaniona hapa?
  • Tumependeza kweli kweli, tunaomba utupige picha! Wasichana wako mstari wa mbele kujiremba.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.