Sikiliza Live

Sikiliza matangazo yetu moja kwa moja (live)

Matangazo haya yanakuwa live kwa nyakati zifuatazo:-

Taarifa za Habari - Kila saa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na moja Afrika Mashariki.

Amka na BBC - Saa kumi na mbili mpaka saa kumi na mbili na nusu Afrika Mashariki (03:00 - 03:30 GMT).

Dira ya Dunia - Saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja na nusu Afrika Mashariki (15:30 - 1630 GMT).

Leo Afrika - Saa tatu kasorobo za Afrika Mashariki mpaka saa tatu usiku (1745 - 1800 GMT).

Sikiliza matangazo yetu moja kwa moja (live)