Huwezi kusikiliza tena

TeknoMaarifa

Makala ya TeknoMaarifa inatathmini kwanini baadhi ya nchi zimekuwa na msimamo mkali kuhusu matumizi ya simu aina ya BlackBerry, kwanini simu nyingine hazihusiki? Hassan Mhelela anasimulia zaidi.