Huwezi kusikiliza tena

TeknoMaarifa

Katika makala ya TeknoMaarifa juma lililopita tuligusia baadhi ya tovuti za kijamii zilizoanzishwa nchini Uingereza kwa lengo la kuwakutanisha watu wa Afrika Mashariki. Tunaangalia ni tovuti gani watu wanatumia, iwe ni kwa kuwasiliana na marafiki au kufuatilia mambo yanayotokea nyumbani. Kama alivyobaini Julius Mbaluto aliyezuru sehemu kadhaa za London, kuzungumza na wakenya, Facebook ina nafasi kubwa, ingawa tovuti zenye mwelekeo wa Afrika Mashariki.