3 Novemba, 2010 - Imetolewa 16:57 GMT

Upigaji kura wa Zanzibar

Media Player

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza fomati mbadala za SV

Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1995 uchaguzi katika visiwa vya Zanzibar umefanyika bila vurugu zozote.

Hii ni kufuatia makubaliano kati ya viongozi wa vyama vya CCM na CUF kuunda serikali ya muungano.

Hakujawa na pingamizi zozote kuhusu matokeo, na hali ya mvutano ambayo imekuwa ikishuhudiwa kila kunapofanyika uchaguzi haikuwepo wakati huu.

Mwandishi wa BBC Noel Mwakugu alikuwa huko wakati wa uchaguzi wa Tanzania na kushuhudia.

BBC navigation

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.