Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia Wiki Hii

Kama mwaka 2011 ulishuhudia mauzo ya tabiti yakiwa makubwa, - 2012 huenda ukawa mwaka wa bei kushuka. Google imechukua tena hataza kutoka IBM na safari hii imechukua zaidi ya hataza 200. Mwaka 2012 huenda ukawa mwaka mzuri kwa wadukuzi wanaosaka matatizo katika katika makampuni. Wavuti wa kuweka picha uitwao Instagram umekuwa jukwaa la hivi karibuni la Rais wa Marekani Barack Obama katika mitandao ya kijamii.