Huwezi kusikiliza tena

Ulimwengu wa Soka kwa kifupi...

Tazama kwa kifupi jinsi kipindi cha Ulimwengu wa Soka kinavyofanya kazi siku za Jumamosi na Jumapili. Kuanzia stuio hadi uwanjani. (utaona jinsi Kikeke anavyopata midadi uwanjani!)