Huwezi kusikiliza tena

Jengo jipya la AU Addis Ababa

Umoja wa Afrika umepata jengo jipya kwa ajili ya makao makuu mjini Addis Ababa, Ethiopia. Mwandishi wetu Noel Mwakugu anaarifu zaidi.