Huwezi kusikiliza tena

Pata maneno ya Them Mushrooms

Image caption Them Mushrooms kutoka na vibao vipya

John Katana Harrison, mwanamuziki wa Them Mushrooms nchini Kenya, asema wana mipango ya kutoa nyimbo mpya mwaka huu.

Alex Mureithi alizungumza naye mjini Nairobi, na katika makala ya Sanaa ya Jumapili, anaelezea juu ya bendi yao na muziki huo unaotazamiwa.