Huwezi kusikiliza tena

Charles Taylor alichochea vita

Majaji katika mahakama maalum mjini the Hague imempata na hatia rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor, kwa kusaidia, na kupanga matukio kumi na moja ya uhalifu kuhusiana na vita ya wenyewe kwa wenyewe katika nchi jirani ya Sierra Leone mnamo miaka ya tisini.