Huwezi kusikiliza tena

Mkasa wa meli kuzama Zanzibar

Watu wapatao thelathini wamefariki dunia baada ya meli iliyokuwa imebeba zaidi ya watu mia mbili kuzama katika ufuko wa Tanzania karibu na kisiwa cha Zanzibar.

Inaripotiwa kuwa watu wegi waliokolewa au waliweza kuogelea.

Meli hiyo ilikuwa inasafiri kuelekea Zanzibar ikitokea Dar es salaa