Huwezi kusikiliza tena

Zimesalia wiki 7 kabla ya michezo

Ni wiki saba sasa zimesalia kabla ya michezo ya Olimpiki kung'oa nanga mjini London. Hizi hapa taarifa kuhusiana na maandili hayo kutoka kote duniani.