Mwili wa Zenawi wawasili Addis Ababa

Imebadilishwa: 22 Agosti, 2012 - Saa 13:16 GMT

Picha: Mwili wa Meles Zenawi wawasili Addis Ababa

  • Wananchi mjini Addis wakisubiri kuutizama mwili wa Waziri Mkuu Meles Zenawi
  • Maelfu ya watu siku ya Jumanne walijitokeza katika barabara za mjini Addis Ababa kuomboleza kifo cha Zenawi
  • Mwili wa Meles Zenawi unasindikizwa mara tu baada ya kuwasili kwa ndege katika mji mkuu wa Addis Ababa tarehe 22 Agosti
  • Mwili wa Meles umelazwa katika kasri yake ili wananchi waweze kutoa heshima zao za mwisho
  • Meles alihusika katika siasa za Ethiopia kwa zaidi ya miongo miwili
  • Mwili wa Meles Zenawi ukisindikizwa na wanajeshi
  • Mshumaa uliowashwa kando ya picha ya Meles Zenawi

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.