Huwezi kusikiliza tena

Mazungumzo na rais Jakaya Kikwete

Watanzania wengi wanahisi kuwa mali asili nchini humo ikiwemo gesi inayotoka katika ziwa Malawi, bado haijaweza kuleta manufaa kwa maisha ya kila siku ya wananchi. Lakini serikali ya Tanzania inaenelea mpango wake wa itakavyohakikisha kuwa mali asili hiyo inaleta faida sio tu kwa wanachi bali kwa uchumi mzima wa nchi hiyo.