Huwezi kusikiliza tena

Ni miaka 40 tangu wafukuzwe na Idd Amin

Wahindi walianza kuwasili nchini Uingereza miaka ya sabini walipofukuzwa Uganda na Idd Amin. Na sasa wanaadhimisha miaka 40 tangu walipofukuzwa. Walipewa hifadhi nchini Uingereza na tangu hapo wengi wamejikita katika biashara . Peter Musembi amevinjari mitaa wanakoishi wahindi mjini Leicester kujionea maisha yao.