Huwezi kusikiliza tena

Jim Yong Kim ana zawadi gani kwa Afrika?

Rais mpya wa benki ya dunia Jim Yong Kim azuru Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuchukua wadhifa huo. Je ana zawadi gani kwa bara hili? Ali Mutasa anaeleza katika makala ya uchumi