Huwezi kusikiliza tena

Mauaji ya Tana River

Zaidi ya watu elfu tano wameachwa bila makao huku wengine zaidi ya miamoja wakiuawa baada ya mapigano ya kikabila katika eneo la Tana River. Ann Mawathe alitembelea eneo hilo kujionea hali ilivyo.