Wakulima wa Kakao mashakani

Thuluthi moja ya kilimo cha Kakao nchini Ivory Coast ndio inayoingia kwenye mamilioni ya Chokleti kila mwaka. Lakini kwa Wakulima wa nchi hiyo ambayo inatoa Kakao nyingi duniani, wako mashakani.

Serikali haiwasaidii sana badala yake inajinufaisha yenywe. Wiki hii Serikali itaanzisha mfumo mpya ili kuweka bei moja kwa lengo la kuwanufaisha Wakulima. Peter Musembi anatufahamisha zaidi: