Huwezi kusikiliza tena

Mzozo wa ziwa Malawi watokota

Mzozo kuhusu ziwa Malawi umefikia daraja lengine sasa, kwa mujibu wa Rais Joyce Banda wa Malawi kuanzia sasa hakuna tena mazungumzo kuhusu masuala ya mpaka na Tanzania kwa kile alichokitaja bughudha kutoka upande wa Tanzania kwa wavuvi wa Malawi.

Mazungumzo kati ya nchi hizo mbili yalikwama mwezi agosti .

Hassan Mhelela ametuandalia taarifa ifuatayo .