Huwezi kusikiliza tena

Polisi wa kwanza wanawake Somalia

Kwa mara ya kwanza katika miaka 20 chuo cha mafunzo kwa polisi mjini Mogadishu, kimeanza kuwakubali wanafunzi wa kike.

Idadi kubwa ya wanafunzi wa kike wangependa kujiunga na chuo hicho.

Wanaiona hatua ya kujiunga na idara ya polisi kama uzalendo, wakisema kuwa wanawake wa kisomali wanaweza kusaidia katika juhudi za amani, nchini humo.

Polisi wa Kike wanashiriki katika harakati mbali mbali za Usalama, Uchunguzi na pia Kuangalia Usalama wa Barabarani. Suluma Kassim anatuarifu zaidi: