Usalama mpya Somalia

Imebadilishwa: 17 Oktoba, 2012 - Saa 14:27 GMT

Media Player

Maafisa wanaohusika na mpango huu wameonya watu kutotoa mali zao nje bila kuwafahamisha maafisa wa usalama.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Ili kuzuia mashambulizi katika siku za baadaye mjini Mogadishu, Somalia, wanajeshi wa Somalia na wale wa Muungano wa Afrika wameanzisha mpango maalum unaohusisha kusaka nyumba za watu kutafuta silaha pamoja na kukamata washukiwa wa kundi la Al-Shabaab.

Maafisa wanaohusika na mpango huu wameonya watu kutotoa mali zao nje bila kuwafahamisha maafisa wa usalama.

Zainab Deen anaelezea kuhusu mikakati hiyo mipya ya usalama

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.