Jinsia ya kimapenzi na uchaguzi kenya

Imebadilishwa: 18 Oktoba, 2012 - Saa 14:57 GMT

Media Player

Ni mtu wa kwanza kutangaza msimamo wake huo wakati wa kuwania kiti.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

David Kuria Mbote ni mwanasiasa anayewania kiti cha useneta katika uchaguzi ujao nchini Kenya. Yeye ni mgombea wa kujitegemea asiyeegemea chama chochote, na pia amezungumzia kuhusu jinsia yake kimapenzi. Ni mtu wa kwanza kutangaza msimamo wake huo wakati wa kuwania kiti.

Tumezungumza naye na kumwuuliza amepokewa vipi na watu baada ya kujitangaza .

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.