Masaibu ya vijana Zambia

Imebadilishwa: 18 Oktoba, 2012 - Saa 11:04 GMT

Media Player

Kazi hazipatikani kwa uraisi nchini humo na Manga Margaret anajua vyema masaibu wanayopitia vijana kutafuta ajira Zambia

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Margaret Manga ana miaka 25 pekee na amesumbuka sana kutafuta kazi Zambia kiasi cha kukata tamaa na sasa anaonelea hata ni bora akafanyie watu kazi za nyumbani angalau apate kujikimu kimaisha. Je ajira iko vipi ambako unaishi? ni rahisi kupata kazi au hali ni hiyo hiyo inayokumba vijana Zambia?

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.