Je Afrika imenufaika na raslimali zake?

Imebadilishwa: 22 Oktoba, 2012 - Saa 11:42 GMT

Media Player

Je unajua kama nchini Kenya kuna madini mengi yakiwemo Tiomin, green Garnet na Blue Garnet? Nani ananufaika nayo?

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Wikii hii idhaa ya Kiswahili ya BBC inakuletea makala maalum kuhusu raslimali asili katika eneo la Afrika mashariki na kati.
Na kutuzindulia msururu wa makala hii, mwandishi wetu Dayo Yusuf amezuru eneo la Taita lililoko pwani mwa kenya , eneo lenye utajiri mkubwa wa madini yakiwemo Tiomin, green Garnet na Blue Garnet. Lakini licha ya utajiri huu wenyeji wamesalia tu kuishi katika lindi la umaskini.

Usikose kuungana idhaa ya kiswahili ya BBC hapo ijumaa katika dira ya dunia ambapo tutakuletea mjadala maalum kuhusu rasilimali asili barani Afrika kutoka mjini AdisAbaba Ethiopia. Swali ni Je Afrika imenufaika kutokana na raslimali zake asili?.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.