Nakuru sehemu 3 tarehe 14 Oktoba 2012

Imebadilishwa: 25 Oktoba, 2012 - Saa 12:01 GMT

Media Player

Mjadala wa Kaunti ya Nakuru tarehe 14 Oktoba 2012

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Je! kaunti ya Nakuru iko tayari kwa uchaguzi wa amani Machi mwaka ujao? Hili ndilo swali SemaKenya, mjadala mpya wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, ilinuia kupata jawabu wakati ilipozuru kaunti ya Nakuru hivi karibuni. Kufuatia maswali yaliyoulizwa na baadhi ya wakaazi, ilikuwa wazi kuwa kuna hatari ya vurugu kutokea tena iwapo serikali haitahakikisha kuna maridhiano ya kweli. Kipindi hiki kilionyeshwa tarehe 14/10/2011 kupitia runinga ya KTN.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.