Fela Kuti 'arejea' katika anga nyingine

Imebadilishwa: 30 Oktoba, 2012 - Saa 06:08 GMT

Media Player

Familia ya Fela imeamua kumkumbuka gwiji huyo wa zamani kwa njia ya kipekee, kwa kugeuza nyumba yake kuwa makavazi.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Mashabiki wa hayati Fela Kuti aliyekuwa mwanamuziki na mwanaharakati nchini Nigeria, sasa wanaweza kumuona Fela katika anga nyingine kuhusu maisha yake. Makavazi yamefunguliwa mjini Lagos, kuonyesha maisha ya Fela.

Makavazi ya Kalakuta yalifadhiliwa na serikali ya jimbo la Lagos, na kuifanya kuwa mara ya kwanza kwa serikali ya Nigeria kumuenzi Fela.

Kwa hivyo sio jambo la kushangaza kwani Fela alikuwa mwanaharakati mkubwa na hasa akiishtumu serikali

Mariama Abdallah anatupa picha ya makavazi hayo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.