Kongamano la chama tawala China

Imebadilishwa: 8 Novemba, 2012 - Saa 11:03 GMT

Kongamano la chama cha kikomunisti nchini China

  • Makamu wa rais wa China Xi Jinping (kushoto) na mshauri mkuu wa kisiasa Jia Quinglin wakipiga makofi huku Rais Hu Jintao akipita nyuma yao kwenda kuhutubia kongamano hilo
  • Rais Hu Jintao (kushoto) akihutubia kongamano la kumi na nane la chama cha kikomunisti mjini Beijing
  • Rais Hu Jintao akihutubia mkutano wa chama cha kikomunisti uliofanyika katika ukumbi wa Great Hall of the People mjini Beijing
  • Wajumbe wa chama wakimshangilia Rais Hu Jintao baada ya kuhutubia kongamano linalotarajiwa kufanya mageuzi makubwa katika uongozi wa chama tawala
  • Rais Hu Jintoa (kulia) na kiongozi mpya Xi Jinping wakitembea pamoja baada ya kufunguliwa rasmi kwa kongamano la 18 la chama cha kikomunisti mjini Beijing China
  • Rais wa zamani Jiang Zemin (kulia) akishauriana na Rais Hu Jintao wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo
  • Zaidi ya wajumbe 2,000 walihudhuria kongamano hilo la chama cha kikomunisti
  • Rais wa zamani wa China Jiang Zemin

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.